Deuteronomy 24:19

19 aUnapovuna shamba lako na ukasahau mganda, usirudi kuuchukua. Acha kwa ajili ya mgeni, yatima na mjane, ili Bwana Mwenyezi Mungu wako aweze kukubariki wewe katika kazi zote za mikono yako.
Copyright information for SwhKC